LATEST POSTS

Thursday, January 23, 2014

Peter okoyena mkewe washerehekea siku ya kuzaliwa ya binti yao Aliona

Peter Okoye na mkewe washertehekea birthday party ya binti yao Aliona ambaye ametimiza mwaka mmoja. Aidha, katika sherehe hiyo, pacha wa peter, Paul pamoja na mchumba wake Anita na mtoto wao nao walikuwepo kama unavyowaona katika picha.
Sherehe ilifanyika Atlanta.

Happy Birthday Baby Aliona!!
Kata keki tulee! Kata keki tule.

0 comments: