WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda hivi punde
amewasili eneo la daraja la Dumila mkoani Morogoro lililokatika baada
ya kunyesha mvua kubwa ili kujionea hali halisi ya eneo hilo pamoja na
kutoa pole kwa familia zilizokumbwa na maafa hayo.
Mhe. Pinda ametua kwa helkopta ya polisi na ameungana na Waziri wa Ujenzi, Mhe. John Pombe Magufuli aliyetangulia eneo hilo.
Mpaka sasa
hakuna magari yanayopita eneo hilo kutokana na kukatika kwa daraja hilo
ambalo ni kiunganishi kati ya mkoa wa Dodoma na Morogoro.
Chanzo: GPL
0 comments:
Post a Comment