LATEST POSTS

Saturday, February 22, 2014

Ubunifu huu noma jamani.

Jamani, ubunifu mwingine unashangaza sana. Hiki ni nini sasa? Aah! Mimi sipendi jamani.


Kusema ukweli, katu siwezi kula keki ya design hii. Siwezi asilani. Maana nahisi ntakuwa nawaza kama nakula nanihii vile. Mmh!


0 comments: