![]() |
| Mabingwa wa dunia Timu ya vijana wa mitaani wa kituo cha TSC Academy wakiwasili katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza. |
![]() |
| Mataji kwa wachezaji walio iletea sifa Tanzania. |
![]() |
| Kushoto huyu ndiye kijana aliye pachika mabao matatu ya ushindi yaliyoipatia ubingwa TSC. |
![]() |
| Ngoma wa muziki wa ngoma asili kutoka kwa wataalamu wa muziki wa asili kutoka Bujora Mwanza Tanzania. |
![]() |
| Bango lajieleza. |
![]() |
| Moja ya engo ya mahudhurio ndani ya Nyamagana stadium Mwanza. |
![]() |
| Picha ya Pamoja. |























0 comments:
Post a Comment