LATEST POSTS

Saturday, April 5, 2014

MH. SITTA KUONGOZA MSAFARA WA MAREHEMU "Ramadhani Fundikira" KUELEKEA TABORA KWA MAZISHI

Mwili wa marehemu Ramadhani Fundikira unasafirishwa na ndege ya kukodi. aidha, Mh. Samuel Sitta na Aden Rage wataongizana na wanafamilia hadi kukamilika kwa mazishi. Wanatarajia kufika Tabora saa 5:30 

 
 Marehemu Mzee Ramadhani Fundikira

0 comments: