Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim
Jecha ametangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi Zanzibar, uliofanyika
Oktoba 25, 2015.
Jecha amesema kuwa, ZEC imefuta matokeo ya uchaguzi kutokana na
kukiukwa kwa sheria na taratibu mbalimbali za uchaguzi wakati wa
utekelezaji wa zoezi hilo.
Uchaguzi huo utarudiwa baada ya siku 90.
TAARIFA ZAIDI HAPA CHINI
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
0 comments:
Post a Comment