
Kamati
ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao
chake cha jana pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo wa timu ya
Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na kuhudhuria mchezo kati ya
Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmini ya mwenendo...