Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh akisoma
ripoti ya ukaguzi maalum iliyowaondoa viongozi wa manisapaa Bukoba.
MEYA
wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani amejiuzulu wakati Mkurugenzi wa
Manispaa hiyo, Khamis Kaputa na wakuu wa idara tatu ambao ni Mhandisi
Nimzihilwa, Ofisa Ugavi Baraka Marwa na Mweka Hazina Ulomi wakivuliwa
uongozi baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG), Ludovick Utouh iliyosomwa leo katika ofisi za Mkuu wa
Mkoa Kagera kutatua mgogoro uliokuwepo katika manispaa hiyo.
Source: GPL
0 comments:
Post a Comment