LATEST POSTS

Tuesday, April 30, 2013

DAY TWO YA SEMINA YA UKIMWI - URAMBO


SEMINA YA UKIMWI KWA WAKUU WA IDARA NA VITENGO URAMBO INAENDELEA SIKU YA PILI.
 
Dokta Frank kutoka Tabora akielezea mada ya matumizi ya  ARV

Washiriki wakifuatilia maelezo kutoka kwa mtaalam Dokta Frank


 



 



 
Dokta Frank akieleza mada kwa msisitizo mkubwa



 


Kushoto ni Mwenyekiti wa semina hiyo Bw.Erasto Konga
 

Kazi na dawa babu wee!Hapa washiriki wakijipatia msosi baada ya dozi ya mada kukamilika
 
Kwa niaba ya washiriki wote wa semina hii, ninapenda kutoa shukrani za dhati kwa waandaaji wa semina hii kwani imetupatia uelewa mkubwa wa masuala ya UKIMWI mahala pa kazi. Inshaalah, tutatumia mafunzo tuliyoyapata kuwaelimisha wenzetu masuala haya. MUNGU AWABARIKI SANA kwa kutuwezesha.
 
Theresia Chacha
Mwandishi

0 comments: