LATEST POSTS

Tuesday, May 14, 2013

MATUKIO YA SHEREHE ZA MAY MOSI 2013 WILAYANI URAMBO KATIKA PICHA

 
Maandamano kuelekea uwanja wa Wananchi Square Urambo
 
Trafiki Omari akiongoza maandamano

 
 
Maandamano yanaendelea

 
Watumishi wa Tumbaku wakiwa katika maandamano

CWT nao wakiwa katika maandamano. Walipendezaje

 

Mkuu wa Wilaya ya Urambo Mhe.Anna Mgowa akiwasili katika uwanja wa Mwananchi Square tayari kupokea maandamano

 
Mkuu wa Wilaya akisalimiana na viongozi wa Serikali


Maandamano yakiwasili katika uwanja wa Mwanchi square
 


 


 




 

 





 
 

 

Mheshimiwa DC mama Anna Magowa na Mwenyekiti wa chama cha TALGWU Wilaya ya Urambo wakishuhudumia maandamano yakiwasili katika uwanja wa Wananchi Square

Kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mhe.Adam Malunkwi na Mkurugenzi wa Halmashauri Eng.Richard Ruyango wakiteta jambo

0 comments: