LATEST POSTS

Thursday, June 27, 2013

KAZI NA DAWA WADAU


Wadau wangu habari za siku nyingi? Kwa kweli sikua hewani kwa muda sasa lakini hiyo ni kwa sababu nilikua mapumzikoni. Nilikua likizo kidogo hivyo nilisafiri kwenda kusalimia wazazi pamoja na ndugu na jamaa na marafiki. Eeh!Kupumzisha ubongo ati. Na sasa nipo fiti kuendelea kuwahabarisheni mambo mbalimbali muhimu kwenu kama kawa. Na hizi ni baadhi ya picha za matukio ambazo nilipiga nikiwa likizo na nimeona si vibaya nikishea nanyi wadau wangu.

Home sweet home babu weeh!
 
 
Kwa raha zangu nikijishebedua



Pozi langu mie jamani!

Me and My lovely family

Mdogo wangu mwenyewe

Nilipata wasaawakwenda kulea mtoto wa rafiki yangu kipenzi josephine. I love you baby Jamila
 
Nimemtamani mtoto.Kama wangu vile.

Hebu cheki jamani.

0 comments: