LATEST POSTS

Friday, June 28, 2013

BATA LA LIKIZO LIKIENDELEA


Nilikwenda pia ufukweni kupunga upepo wa bahari. Katika beach zote za Dar-er-salaam, nilichagua kwenda KIJIJI BEACH Kigamboni kwa sababu ni beach ambayo naipenda. Imetulia sana.
 
Mandhali tulivu ya Kijiji Beach
 
 
 
 
Hallow mammy I miss you
 



Kuogelea kwangu mwiko. Mkulya na maji wapi na wapi.Mie huishia kuyagusa tu basi.
 


 


 
Kitu cha hereni hicho. Kimetulia sikioni.
 

0 comments: