LATEST POSTS

Monday, January 6, 2014

MWANAMITINDO BELINA MGENI AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Belina Mgeni.

Mwanamitindo maarufu Bongo, Belina Mgeni amejifungua mtoto wa kike.

 
Mtoto wa Belina.

Belina alijifungua juzikati katika Hospitali ya TMJ, iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam ambapo mwanamitindo huyo hakusita kuanika furaha yake mbele ya paparazi wetu kisha akatangaza jina la kichanga hicho, Naila.
“Kiukweli siku zote ukimuomba Mungu unafanikiwa kwani nilikuwa naomba sana nipate mtoto wa kike na kweli imekuwa, namshukuru Mungu jamani,” alisema Belina pasipo kumuanika baba wa mtoto huyo.
Chanzo: GPL 


0 comments: