LATEST POSTS

Sunday, March 10, 2013

PICHA ZAIDI ZA SHEREHE YA WANAWAKE WILAYANI URAMBO



 
Waheshimiwa Madiwani wa viti Maalum Kuanzia kushoto ni Mheshimiwa Lilian Seleli, Mheshimiwa Aneth Msangama na Mheshimiwa Batseba Bastola wakifuatilia kwa umakini matukio ya sherehe ya Siku ya Wanawake Kijijini Nsenda


Kutoka kushoto ni Diwani wa Kata ya Kiloleni Mhe. Masanja Mpapa, Diwani wa Kata ya Nsenda Mhe. Said Kadada na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mhe. Saveli Maketa wakifuatilia sherehe ya siku ya wanawake


                                      Aliyekuwa MC wa sherehe hiyo Mamaa Doro Kigata





 Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Urambo mama Susu, Afisa Mipango Wilaya Bi. Marry Luhulula na Afisa Maendeleo ya Jamii Bi. Salome Majige.
 

     Wanakwaya wakitoa burudani na Ujumbe wa Siku ya Wanawake kwa wimbo wa Kwaya.










                          Mgeni Rasmi akitembelea vikundi vya akina Mama Wajasiliamali



 
 
 



 
 



 

0 comments: