Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli
amefuta safari zote za nje ya nchi kuanzia leo hadi hapo maamuzi mengine
yatakapotolewa.
Dk Magufuli...
LATEST POSTS
Saturday, November 7, 2015
Saturday, October 31, 2015
Friday, October 30, 2015
Tanzania's new president, 'The Bulldozer' Magufuli
Dar es Salaam (AFP) - Tanzania's
new leader John Pombe Magufuli...
Thursday, October 29, 2015
JK AMPONGEZA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI IKULU, DAR JIONI HII
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro
cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph
Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza...
BREAKING NEWS: DK. MAGUFULI NDIYE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza
Dk. John Pombe Magufuli kuwa ndiye Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania baada ya kupata kura 8,882,935 sawa na asilimia 58.46%.
Dk. John Pombe Magufuli...
Wednesday, October 28, 2015
DIAMOND: KAWEKA HISTORIA ULAYA
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
OKTOBA 25,
mwaka huu ilikuwa ni moja kati ya siku...
BREAKING NEWS: ZEC YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim
Jecha ametangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi Zanzibar, uliofanyika
Oktoba 25, 2015.
Jecha amesema kuwa, ZEC imefuta matokeo ya...
Monday, October 19, 2015
Kweli mapenzi yana nguvu. neno i love you lamzindua lamzindua Lamar aliyekua amepoteza fahamu tangu oktoba, 13.
Lamar Odom.
MUNGU
mkubwa! Lamar Odom mwishoni mwa wiki hii aliamka baada ya kupoteza
fahamu kwa zaidi ya siku tatu, kwa madai ya kuzidisha matumizi ya dawa
za kulevya, lakini Ijumaa iliyopita alizinduka baada ya kusikia sauti ya
...
Wednesday, October 14, 2015
SHERIA YA MTANDAO YAMGUSA MWINGINE MKOANI DODOMA
Mtayarishaji wa vipindi, Sospiter Jonas
amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Dodoma Mjini akishtakiwa kwa
matumizi mabaya ya mtandao.
Sospiter alisomewa mashtaka hayo na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Mussa mbele...
Jamani, aliyetuumba hajatukosea. Why all this?

Nashauri wamama na wadada tuachane na mambo kama haya ya kutumia viungo bandia katika miili yetu. Ni vizuri tujipende na kujivunia vile ambavyo Mungu ametuumba kwani hajatukosea. Haya, umeweka maziwa kama haya ya bandia, halafu ukapata shemeji, mkifika chumbani inakuaje sasa?...
My dear fellow women, will you be able to try this Snail Beauty Treatments ? Me I can't ooh!

I copied it from somewhere....
I have been obsessed with beauty products from a young age.Really bad I
know! But, for about two years now, I found a new obsession with natural
skin care procedures.Last week, I decided to attend the Beauty Africa
Exhibition Expo...
FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!
OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili,
Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata
kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua
mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa...
Tuesday, October 13, 2015
Maelezo ya Wizara kuhusu umiliki wa mitambo ya kuzalisha umeme

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
TAARIFA KWA UMMA
Hivi karibuni zimeibuka taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii
zikimnukuu Waziri wa Nishati na Madini, George B. Simbachawene akisema kuwa
mitambo yote ya uzalishaji...
Wanafunzi wataka Nec kutafuta ufumbuzi wapige kura

Wanafunzi wa Shule ya Arusha Sekondari wameiomba Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (Nec) kutafuta ufumbuzi kwa wanafunzi waliojiandikisha vituo
tofauti na walipo sasa ili waruhusiwe kupiga kura.
Waliyasema hayo wakati wa mafunzo ya elimu ya uraia na
mpigakura...